Simba wanatumia usafiri gani kutoka Tabora kwenda Mwanza?

oladipo

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2022
Posts
1,885
Reaction score
3,305
Wajuvi naomba mnijuze maana wote tunajua hizi timu kubwa huwa wanakula mwewe kwenye kila safari

Je, simba kutoka Kigoma kwenda Tabora walitumia usafiri gani?

Na kutoka Tabora kwenda Mwanza itatumia usafiri gani?

Maana sina hakika kama ndege za Tanzania airways zinafika Tabora.
 
Tabora kuna ndege kabla hujazaliwa
 
ATCL wanatua Tabora ever since.
 
Mara nyingi ndege ikitoka kigoma inatua tabora then dar
 
Unauliza wanapita wapi unataka uwategee miba?
 
Miaka ya nyuma kabla ya Uhuru, Tabora ndio ilikuwa Terminal ya ndege za Kimataifa. Ndega ilikuwa inatokea South Africa inatua Tabora inaelekea uingereza. Nashangaa Sasa hivi ubabaishaji
 
Hapa wanatumia bajaji ,kwa kuwa hawana hela ya mwewe,wanajipanga kufanya usajili bora kwani hofu ni kuwa Nbc wameshapoteza,na champions league matumaini yamefifia mno,hivyo ipende tu timuyako karibuni wanageuka watembeza bakuli fc😄
 
Vip mnataka muwategeshee uçhawi wenu
 
Miaka ya nyuma kabla ya Uhuru, Tabora ndio ilikuwa Terminal ya ndege za Kimataifa. Ndega ilikuwa inatokea South Africa inatua Tabora inaelekea uingereza. Nashangaa Sasa hivi ubabaishaji
hii mpya, sijawahi kusikia.....
unaweza tia nyama mkuu? kulikua na nini special huko tabora?
 
hii mpya, sijawahi kusikia.....
unaweza tia nyama mkuu? kulikua na nini special huko tabora?
The former dirt strip of the Tabora Airport was improved and lengthened in 1942 during World War II. The South African Air Force supervised the work and built the hangar and the control tower. The airport was needed as a relay station for airborne supplies and troops destined for the North African desert campaign.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…