kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Lose of insight ni ugonjwa ambao mgonjwa hajui kama anaumwa na hajui kama anaumwa nini, hivyo hatafuti matibabu bila watu wengine kumsaidia.
Simba hawaamini kama Yanga ni Bora pamoja na kucheza finali ya CAF confederation, kucheza robo finali CAF champions, kutoka sare na Mamelods, kucheza na timu ya ujerumani , kubeba kombe la Toyota na kuzifunga timu za ndani na nje magoli mengi.
Magori anamlaumu Camara, Fadlu analaumu ukosefu wa VAR, wazee wazee wa simba wanalaumu Kayoko, GSM, mawaziri, Mwwigulu, serikali, Ally Kamwe na viongozi wao kununuliwa na GSM. Kipigo cha 4 kutoka Yanga mfululizo, wamepoteza 5 pts, Wamevurugikiwa, hawajui shida yao iko wapi.
Simba hawaamini kuwa Yanga ina kocha mzuri na wachezaji wazuri kuliko Simba, Na hawataki kuwalaumu wachezaji wao kukosa magoli ya wazi.
Simba mpaka Leo wanaamini kwenye uchawi uwanjani kuliko sayansi.