Simba wanaweza kufuzu leo nusu final

Simba wanaweza kufuzu leo nusu final

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Simba wana nafasi kubwa leo ya kufuzu nusu final

Ninawaombea Mungu awasaidie kufuzu nusu final leo

Ila kinacho nipa stress na kicheko ni hiki hapa

-4 =-1-1? (-x-) =+[emoji3][emoji12][emoji13][emoji1787] wenye akili tu ndo watanielewa bye bye
 
Hata mimi naona dalili hizo
 
Simba wana nafasi kubwa leo ya kufuzu nusu final

Ninawaombea Mungu awasaidie kufuzu nusu final leo

Ila kinacho nipa stress na kicheko ni hiki hapa

-4 =-1-1? (-x-) =+[emoji3][emoji12][emoji13][emoji1787] wenye akili tu ndo watanielewa bye bye
Simba anatinga nusu fainali Leo hii
 
Lengo la mwandishi lipo kwenye ule mlinganyo 🤣🤣tuliokimbia hesabu hatujaelewa
 
Muda UTATOA MAJIBU WENYEWE.
Kwanini unataka KUSHINDana na Muda???????

Unashindwa kusubiri saa CHACHE kutoka sasa ambapo Muda wenyewe UTAONGEA.

Hii ni DALILI kubwa ya mtu MJINGA.
KUTABIRI TABIRI, LAMLI, UNAJIMU.

UNATAKA KUWA MRITHIBWA SHEICK YAHAYA??????
 
Simba wana nafasi kubwa leo ya kufuzu nusu final

Ninawaombea Mungu awasaidie kufuzu nusu final leo

Ila kinacho nipa stress na kicheko ni hiki hapa

-4 =-1-1? (-x-) =+[emoji3][emoji12][emoji13][emoji1787] wenye akili tu ndo watanielewa bye bye
اليوم سجل عشرة أهداف
 
Ninachoogopa wakifuzu hatutakunywa maji ndio maana nipo kimya Hadi mechi iishe ili niwe nakauli chafu mmke.
 
Simba wana nafasi kubwa leo ya kufuzu nusu final

Ninawaombea Mungu awasaidie kufuzu nusu final leo

Ila kinacho nipa stress na kicheko ni hiki hapa

-4 =-1-1? (-x-) =+[emoji3][emoji12][emoji13][emoji1787] wenye akili tu ndo watanielewa bye bye
Piga hao Mikia FC Pusha FC Punda FC Bwimbwi FC.
 
-4 =-1-1? (-x-) =🚮 thread.
Walisomea Cuba tu ndiyo watanielewa...
 
Kama Simba imewahi kumtoa ZAMALECK BINGWA MTETEZI 2003 IWEJE HAWA WYDAD????

MBONA J IMEJAZA WATU WAJINGA WAJINGA HIVI?????????.

UJINGA NI MZIGO
 
Back
Top Bottom