Simba wangecheza na USM Alger taifa lingepata aibu ya mwaka

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kwa uchambuzi wangu mdogo ...nmefuatilia uchezaji wa mechi za ndugu zangu ... makolo walipo kutana na ndugu zao ( wadhaifu) vipers, horoya, big bullets

Na kucheza chini ya kiwango .....pia Baada ya kucompare na mechi za Yanga zote kuanzia robo fainal ....nmesikitika sana na kulia kabisa .....taifa lingeaibika sana

Kwa mechi ya juzi .....simba wangekuwa si chini ya goli 6 on first half
 
Hivi Hersi ni wakumfanyia udanganyifu Feisali kumsainisha kandarasi ya miaka 3 badala ya miaka 2?

Ebu jatibu ku imagine uhuni alioufanya yule jamaa
Kabisa mkuu......Simba bado ni timu mbovu sana

Lazima itafute wachezaji kinda sio jamii ya wazee kina onyango....

Pia watafute scout makini
 
Malizeni la fei kwanza hili la mechi ya fainali ya marudio Kwa mwarabu tunajua mmeshapoteza achaneni na simba
Uko sahihi Mkuu.....Simba tujifunze Kwa wakubwa yanga
 
Mwacheni fei toto aende zake acheni ubazazi- dogo anahaki zote za kuondoka yanga Kwa aina yeyote ilee acheni kukandamiza vipaji acheni utapeli
Uko sahihi Mkuu..... haiwezekan Kila siku Simba tunaishia Robo fainali [emoji23]
 
Nyiee kombe mnaloo? Hata la losers enyewee??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana mkuu .....sisi tupo fainali ya kombe kubwa Africa....

Lkn sio la abiola cup
 
Acha upumbavu, kabla hujaongea huo upuuzi wako fikiria kwanini USM iko kundi la Shirikisho, usiwe unakuja na story za wavuta sigara hapa.
Makolo walichoma moto uwanja kisa kombe hili
 
Uko sahihi Mkuu..... haiwezekan Kila siku Simba tunaishia Robo fainali [emoji23]

Haiwezekani fei toto atake kusain mkataba wa miaka miwili nyinyi kwa tamaa zenu mumuongezee mwaka mmoja iwe miaka mitatu

Hakuna atayekubali huo ujinga tena katika nchi hii fei ni kijana mdogo sana na tutamsapoti mpaka apate haki zake
 
Hivi Hersi ni wakumfanyia udanganyifu Feisali kumsainisha kandarasi ya miaka 3 badala ya miaka 2?

Ebu jatibu ku imagine uhuni alioufanya yule jamaa
Wachezaji wetu ni wajinga sana yana, Feisal hana representative yoyote, unaenda kusign mkataba umeandika kwa lugha usiyoijua unaenda bila hata mwakilishi wako aangalie vipengele,yaani ni sawa na wewe upewe mkataba wa kichina u sign tu pale chini, kweli kitu sensitive kama hicho kinachoamua maisha yake alitia sign bila kuelewa! Feisal hajui tofauti ya two na three?????? Kweli jaman?
 
Naona unatafuta faraja...
Umeshakubali kuwa ulikandwaa na unaenda kukandwa tena...
 
Crap
 
Bongo kila mtu mchambuzi
 
Haiwezekani fei toto atake kusain mkataba wa miaka miwili nyinyi kwa tamaa zenu mumuongezee mwaka mmoja iwe miaka mitatu

Hakuna atayekubali huo ujinga tena katika nchi hii fei ni kijana mdogo sana na tutamsapoti mpaka apate haki zake
Hujakosea mkuu.....Simba tunatakiwa kumtimua mwamedi ......haiwezekan atuletee kina sawa kubwa

Tunahitaji players jamii ya mayele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…