Simba waombeni Azam Ayoub Lyanga akasaidiane na akina na Kibu Denga

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Dabo amemdhalilisha sana Ayoub Lyanga, amemweka benchi kiungo huyo wakati ana mchango mkubwa sana.Simba kama usajili wetu bado nafasi ndio hiyo.
 
Huu utaratibu wa kuanza kuwatamani wachezaji wa timu nyingine mmeuanza lini? Mbona timu yenu ina lundo la wachezaji wanaocheza namba moja na huyo Ayoub Lyanga!!!

Onana, Kibu Dennis, Kramo, Luis Miqsoune, Ntibazonkiza, Chama, na wengineo wengi tu!! Wote hawa hawafai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…