Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shasema hawa wanakurupuka sana, jana mi numeona wanaosha vyombo nikawa najiuliza hotel gani mteja anaosha vyombo
Jameni acheni majungu! Labda walikuwa wanajiburudani tu kupunguza kumiss home.
...acheni ushamba, hiyo ni burudani yao, open mic aka karaoke... !! At least hawa wanacheza na timu kubwa, U -23 inayocheza olympic, au timu ya taifa ya jeshi ( yenye 9 players wa national team yao) na sio kucheza na timu za daraja la 4 au ya wafanyakazi wa hoteli na wafukuza simblis kama wale wa serena lodge...lol
Hahahahahaaaaa, mkuu umenichekesha sana, lol!
Wachezaji wa simba wakitumbuiza kwa muziki aina ya taarabu kwenye kumbi za burudani huko arabuni ili kujiongezea kipato.
![]()
...acheni ushamba, hiyo ni burudani yao, open mic aka karaoke... !! At least hawa wanacheza na timu kubwa, U -23 inayocheza olympic, au timu ya taifa ya jeshi ( yenye 9 players wa national team yao) na sio kucheza na timu za daraja la 4 au ya wafanyakazi wa hoteli na wafukuza simblis kama wale wa serena lodge...lol
Mashabiki wa rangi za matembele bana! Kuna k2 kinaitwa karioke au hamjui? Hapo kapteni kaseja alikuwa anafanya mambo.. Natamani angekuwa yule kocha wenu mvaa kikuku angekuwa anakata mauno saa hizo afu boban kama kawa anabambia kwa nyuma.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
:becky::majani7:wanaimba taarabu.Siunajua ukishagongwa yale mambo nyimbo ndo hizo tu