Simba wapiga deiwaka Arabuni (picha)

Jameni acheni majungu! Labda walikuwa wanajiburudani tu kupunguza kumiss home.
 
Wasije wakawafanyia mambo ya kigamboni, wakawa-IFM
 
...acheni ushamba, hiyo ni burudani yao, open mic aka karaoke... !! At least hawa wanacheza na timu kubwa, U -23 inayocheza olympic, au timu ya taifa ya jeshi ( yenye 9 players wa national team yao) na sio kucheza na timu za daraja la 4 au ya wafanyakazi wa hoteli na wafukuza simblis kama wale wa serena lodge...lol
 

vipi mkuu leo yanga imeshinda?. mia
 
Mashabiki wa rangi za matembele bana! Kuna k2 kinaitwa karioke au hamjui? Hapo kapteni kaseja alikuwa anafanya mambo.. Natamani angekuwa yule kocha wenu mvaa kikuku angekuwa anakata mauno saa hizo afu boban kama kawa anabambia kwa nyuma.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wachezaji wa simba wakitumbuiza kwa muziki aina ya taarabu kwenye kumbi za burudani huko arabuni ili kujiongezea kipato.



Huyo mwenye mic Dhahiri shahiri anaonekana akiimba Ngwinji iliopata kuimbwa na al-anisa Khadija Kopa...
 
wanaimba taarabu.Siunajua ukishagongwa yale mambo nyimbo ndo hizo tu
 

Na wale tuliocheza nao taifa na takawapa zawadi ya uturuki daraja la ngapi kule south? Nasikia la k
7
 

Na wewe mshabiki wa rangi ya vitambaa ya waganga kaseja ni captain wa meli gani

Sent from my GT-N7100 using Tapatalk 2
 
hawa inaonekana wanavipaji vya taarabu zaidi kuliko mpira.!
 
Nadhani wabadili tu activity waingie kwenye taarabu. Wamependezea sana kuliko haya mambo ya kiume ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…