Simba wapo sahihi kukataa nembo ya GSM

Yanga Ana hisa asilimia ngapi pale GSM?.
ebu acha ushabiki maandazi.

Vipi Kama GSM angekiwa kiongozi wa TFF mngesemaje?
Nembo ya GSM na nembo ya yanga
VINAHUUSIANO GANI?
mbona NYIE hamna AKILI hivi?
Rudi shule kwanza ukajifunze kuandika vizuri.
 
Rudi shule kwanza ukajifunze kuandika vizuri.
Kama Mimi natakiwa nirudi shule kujifunza kuandika vizuri.
Na wewe baba yako alikulipia ada ya shule.
Basi alikula hasara.bora angenunua ng'ombe angepata faida
 
Kweli wewe ni jinga
Wewe ndo unaonekana mjinga.
Maana unajibu kitoto Sana.
Ungekuwa na hoja ungejibu.
Alafu Mimi sio shabiki maandazi Kama wewe.
Najielewa sio wq kupelekwa pelekwa.
 
Swali la kitoto sana hili. Wengi hapa wayokuona mjinga mkuu.
Swali la kitoto wakati hamtoi majibu??

Huyo mjinga anasema Sportesa haijihusishi na chochote pale Simba na Yanga,how comes?
 
Jiandaeni kulipa mil 2 kila game nakushushwa daraja
Nasema hivi sisi Simba hatutavaa jezi yenye nembo ya jesemu.

huyo mbwiga jesemu kama amekosa sehemu ya kuweka nembo akaweke hata kwenye mwiko uliopo nyuma ya wanautopolo.
asituletetee UKABWI hapa.
 
Kaka yanga inahusika vipi na GSM?
hizo NI taasisi mbili TOFAUTI.EBU ELIMIKENI
Unataka nikujbu nin ikiwa mausiano yao nishakuwekea apo ,ukisikia japan imeshirikiana na tanzania kujenga barabaran ya kilometer fulan kwan apo inakua sio nchi mbil au ili mushirikiane ndio lazima muwe taasisi moja
 
Uongozi wa Gsm kushirikiana na ZFA wapo katika mazungumzo yakudhamini Kombe la mapinduzi visiwani Zanzibar mwakani.

Ikumbukwe Gsm msimu huu tayari wameshaidhamini ligi kuu visiwani humo.

Habari njema kutoka ZFA Tayari wameshatoa mwaliko kwa timu nne kutoka Tanzania bara ambao ni

-Yanga sc:Bingwa mtetezi 2021.
-Azam fc
-Simba sc
_Namungo fc

NB
Itakuwa je sasa kwenu studio?

Na GSM wanataka jezi zitakazotumika kwenye mapinduzi Cup ziwe na nembo ya mdhamini wa mashindano hayo kwenye upande wa kulia wa jezi hizo
 
Simba wasishiriki full stop
 
Tukiwaambia hamna akili mnasema tunawatukana..

Ndio umeandika mashudu gani ndugu kolo?

Hiyo nembo mtavaa tu na mechi hakuna kukimbia..
Gabachori kawaharibu sana kumpa team hawara yake
 
Na hapa utaambiwa wewe huna akili

Vitu vingine havihitaji maelezo mengi unapoteza muda wako kuelewesha watu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…