Kombe la muungano ni kombe la bonanza linalohusisha timu mabingwa wa TZ bara na visiwani ( Zanzibar) so kitendo Cha mnyama kuchukua ubingwa huu Ina maanisha Simba ndiye mwamba wa timu zote za TZ bara na Zanzibar ukimtoa Yanga
Kwanini Simba ni baba lao Tz ukiitoa Yanga
Kama wewe ni mdau wa football utaelewa tu kuwa makolo tusingeweza kuchukua ubingwa kama Yanga wangeshiriki ..... ambapo inanipa picha kuwa maybe mud aliwaomba Yanga wasishiriki[emoji23]
Nb: Kwa huu ubingwa wa muungano cup ....Simba ni timu giant hapa TZ ukiitoa Yanga