Simba Warning Lights. Mwarabu ajiandae kuchezea kichapo kwao

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
5,778
Reaction score
4,859
Nisiulizwe kwanini na nini, na vyura mkae kimya! Ila kisasi sasa rasmi kinaenda kulipwa huko kwa akina Raja huko Casa Blankaketi , kwenye boxing tunasema unaweza fumaniwa za Chemba kidevu ila ajiandae tunaenda kumsasambua
 
Strategically not worthy it. Uende kukomaa kule uumize na kuwachosha wachezaji wako wa muhimu, and may be hadi wachezaji wapate red card wakati umesha qualify na robo fainali inakusubiri na timu ambazo ni toppest layer kabisa kwa Africa.
Game na Raja ni ya kuitumia zaidi kujifunza namna ya kucheza na timu kubwa za class ya Raja, maana ama kwa hakika timu yoyote tutakayokutana nayo robo ni ya class moja na Raja. Ni strategic game kuangalia waliokuzidi wao wanachezaje mpira? Wanatumiaje makosa yako kukuadhibu? etc.
Japokua Raja nae atapoza, na labda hata kupumzisha key players wake.Si unaona leo Raja ka draw na vipers?
 
Match ya simba na Raja kule Morocco itakua sio ya kutisha, zote hazina cha kupotezaa
 
Back
Top Bottom