samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Duh, inavyonekana Ahmed Ally Kapiga jiwe Kwenye mzinga Wa Nyuki....!
Wana Yanga Wamefura kwa Hasira.
Minyuzi ya Kumlaani inafunguliwa kama njugu.
Eti Simba hana cha Kujifunza kwa Yanga.
Akaongeza mafanikio ya Yanga anayetakiwa kushukuriwa ni Mo Dewji.
Jamani amkeni amkeni, nyuzi kama zote jukwaa la jamiisports juu ya Ahmed Ally.
Simba alishakuwa kundi moja na Al ahly na bado akaongoza kundiNasikiliza hapa wapi yaani ni kujitafuta tu kila mahali. Sasa Yanga sa ameingia fainali last year CAF CONFEDERATION CUP je simba kafika? Yanga kaingia robo kwa kishindo kikubwa je Simba alishafanya hivyo au kipapatupapatu.
Ongezea najua mnakuja kasi na mawe
Kuchanganyikiwa huku wanazimia na kulazwa hospital.Ahmed Ali amefikisha kisu kwenye mfupa, Simba ilisha ongoza kundi lenye Al Ahly ndani yake, Yanga imeishia kuwa ya pili na bado wana Yanga wamechanganyikiwe, wangekuwa wa kwanza kama Simba si wangetembea uchi.
Aisee.... unajua usemacho?Hiyo ndio fact na ukweli hivi Simba sc iliyocheza final ya shirikisho mwaka 1993 na yanga iliyobahatika ikacheza mwaka 2023,nani wa kujifunza kwa mwenzake?Simba sc imeingia robo final club bingwa mara 5 na imecheza nusu final mara 1974,na imecheza hatua ya makundi tokea nchi ipate uhuru,yanga hatua ya makundi imechukua miaka 28 na robo final club bingwa ndio kaingia juzi kwa mara ya kwanza mpaka wakazimia...Sasa nani anajifunza kwa mwezake hapo?
Simba sc inawania kucheza kombe la Dunia na ni timu ya 7 kwa ubora barani Afrika ..yanga ni timu ya 27,sasa nani ajifunze kwa mwenzake hapo?ni wazi yanga ndio anajifunza kwa Simba sc
Mkuu, hata Yanga ana nafasi ya kuongoza kundi alilopo, ambalo na Ahly yupo!Ahmed Ali amefikisha kisu kwenye mfupa, Simba ilisha ongoza kundi lenye Al Ahly ndani yake, Yanga imeishia kuwa ya pili na bado wana Yanga wamechanganyikiwe, wangekuwa wa kwanza kama Simba si wangetembea uchi.
Kwahiyo simba ilicheza robo fainali mara 4 kwa kubahatisha. Duuu mnakuwa mmekunywa nini?Nasikiliza hapa wapi yaani ni kujitafuta tu kila mahali. Sasa Yanga sa ameingia fainali last year CAF CONFEDERATION CUP je simba kafika? Yanga kaingia robo kwa kishindo kikubwa je Simba alishafanya hivyo au kipapatupapatu.
Ongezea najua mnakuja kasi na mawe
Kwamba Simba ilicheza 1993, na yanga ikabahatisha 2023..!! Kweli nyie mbumbumbu FC a.k.a wala ngadaHiyo ndio fact na ukweli hivi Simba sc iliyocheza final ya shirikisho mwaka 1993 na yanga iliyobahatika ikacheza mwaka 2023,nani wa kujifunza kwa mwenzake?Simba sc imeingia robo final club bingwa mara 5 na imecheza nusu final mara 1974,na imecheza hatua ya makundi tokea nchi ipate uhuru,yanga hatua ya makundi imechukua miaka 28 na robo final club bingwa ndio kaingia juzi kwa mara ya kwanza mpaka wakazimia...Sasa nani anajifunza kwa mwezake hapo?
Simba sc inawania kucheza kombe la Dunia na ni timu ya 7 kwa ubora barani Afrika ..yanga ni timu ya 27,sasa nani ajifunze kwa mwenzake hapo?ni wazi yanga ndio anajifunza kwa Simba sc
Simba hajawahi kucheza fainali etie. Utoto unakusumbua sana.Nasikiliza hapa wapi yaani ni kujitafuta tu kila mahali. Sasa Yanga sa ameingia fainali last year CAF CONFEDERATION CUP je simba kafika? Yanga kaingia robo kwa kishindo kikubwa je Simba alishafanya hivyo au kipapatupapatu.
Ongezea najua mnakuja kasi na mawe
Utopolo bhanaView attachment 2917928Nasikiliza hapa wapi yaani ni kujitafuta tu kila mahali. Sasa Yanga sa ameingia fainali last year CAF CONFEDERATION CUP je simba kafika? Yanga kaingia robo kwa kishindo kikubwa je Simba alishafanya hivyo au kipapatupapatu.
Ongezea najua mnakuja kasi na mawe
Basi aongoze angalau afikie rekodi ya Simba ndio aanze kuropoka.Mkuu, hata Yanga ana nafasi ya kuongoza kundi alilopo, ambalo na Ahly yupo!
Hahahahaha..watanzania kweli mnajua kuvurugana ..mbumbumbu na wenye akili wawili ...Basi aongoze angalau afikie rekodi ya Simba ndio aanze kuropoka.