William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Kama kuna Mtu wa kupewa pongezi kwa kukua Soka la bongo basi namba moja ni Mohammed Dewji Mo.
Alijitaidi kuisuka simba vizuri na kuitambulisha soka letu kimataifa
Baada ya mo Wafate akima Azam media na wengine
Ila anavyoishiwa nguvu ya pesa kuifanya timu kubwa Akubali ukweli. ahusishe matajiri na wanachama kuijenga timu kwa ubia
sasa anachofanya mh. Mpango wa Mo ni kuwafukuza vyuma vyote ili Aanze upya na Wachezaji cheepest.
Tumewahukumu Akina Chama, Inonga, Kapombe na Manula bure.
Hawakuweza kujitetea uwenda mikataba inawafunga. Wamekaa kimya japo wameoshwa matope. Ila Muda utaongea.
Wakamfanyia kampeni kiungo pia Kanute kuwa hataki kubaki, Wakamfukuza kimya kimya na Onana, Jobe na Sarry wote hao sio viwango au nini inshu ni Pesa.
Walitaka kumvunjia mkataba pia Kipa Ayoub, Freddy na ama washushe mshahara mara 2 au zaidi.
Wakachukua wachezaji wa bei chee, wasio na majina kwa kivuli cha vijana. Kama walivyowaacha Banda na Sacko.
Kama kama kuna mwanasimba anazani timu iko kiushindani anajidanganya.
Mpango wa Mo mwakani kimataifa ni kutoka hatua za awali kabisa.