Simba wasikilize mashabiki bila hivo nendeni uwanjani wenyewe

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
1. Matola atoke hapo benchi apewe hata timu ya vijana.

2. Mashabiki walishashauri Simba waache mazoezi ya wazi, mnajifanya modern football ,mwenzako anasoma mbinu yako ya mchezo we humsomi. Yanga wanafungwa na timu za hovyo za kimataifa maana hawaoni mbinu zao lakini kwetu sisi ni draw na kipondo. Mtu haogopi faini anaruka ukuta kila mwaka na kuingia mlango wa nyuma ataogopa kukuloga?.
Sometimes unajiuliza huyu kocha hajalogwa hadi analeta kikosi cha ajabu?


3. Foward Phiri hatoshi ongezeni Manzoki huyo mzungu kabla ya kumfukuza mwekeni kwanza sero siku 3 kwa aibu aliyotutia.

4. Huyo Zohan aangaliwe vizuri mechi ya kwanza ya ligi na Geita Gold draw ikitokea tusionane wabaya.

N:B mnatuvunja moyo mashabiki ,jezi kwanza hamjatuomba msamaha na tunaanzaa msimu bila kikombe na pre season mnafanyia Misri

Unampangaje Mwenda acheze dk zote hata kupiga cross ni shida na umemwacha Kapombe nje? Unamtoa Chama ukidhani umemaliza mchezo unamleta Mzamiru.

Mfungwe tu akili ziwakae sawa.
 
Kwaiyo mlijiamini kabisa kwamba mnaenda kumfunga yanga!!!! Kwa ubora upi mlionao mpaka mpate matokeo mbele ya yanga?

Washambuliaji mnaowategemea ni hao kina kyombo na mzungu hivi kwa akili ya kawaida mlikosa washambuliaji wa kusajili?

Phiri kocha anamkataa anamkubali mzungu wake mtateseka sana
 
Hapa sina utetezi tena yule babu kazingua kesho siendi kanisani wala sitoki nje
Najifanya naumwa huyu bibie hata kunigusa anaogopa
Usimdhihaki mungu wako!!! Kwa matokeo ya mpira... Hata hivyo nyi thimba mezidi midomo ya chobo
 
Nategemea management ya Simba kuanzia kesho mmoja baadae ya mwingine aanze kujiuzulu, hmna uchungu na timu nyie mnapiga hela tu hapo mshabiki wanatumia huku na matokeo, kwa ubira wa ligi ulivyo sasa kweli mnatuletea huyo mtalii mnaacha wachezaji wa maana
 
Usimdhihaki mungu wako!!! Kwa matokeo ya mpira... Hata hivyo nyi thimba mezidi midomo ya chobo
Umeanza vizuri huko mwisho sasa ngoja nikujibu
 

Attachments

  • 20220813_214654.jpg
    21 KB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…