babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
AFL ni kombe la wakosa vikombe kina simba, wydad n.kAFL...
Una lingine?.
Jidanganye..AFL ni kombe la wakosa vikombe kina simba, wydad n.k
AFL ni kombe la hovyo hovyoJidanganye..
Wakati tunacheza mlikua hampo AFL hampo club Bingwa yani mpo luza kapu....
Hovyo kama la nbc...AFL ni kombe la hovyo hovyo
Simba tayari ana vigezo vya kushiriki AFL, kwa ukanda wake ambao unatoa timu 8 unazani ni timu ngapi zimempita kwa rank? Hata uto mwenyewe kakalishwaWakuu kama mlivyosikia ya kuwa confederation cup limefutwa, Je hawa ndugu zetu ubuntu botho/mikia fc/mbumbumbu fc walio nafasi ya tatu kwenye ligi je watashiriki kombe gan?
Nawasikitikia sana maana naona jinsi wanavyobaki kuwa wa hapa hapa nyumban ( wamchangani)
Nbc ni kombe la hadhi, bila hilo usingepata hata hiyo nafasi AFLHovyo kama la nbc...
CAFCC imefutwa rasmi, michuano ni AFL na CAFCLNbc ni kombe la hadhi, bila hilo usingepata hata hiyo nafasi AFL
Watashiriki African Football League, maana kwa ukanda huu wao ni bora kuliko timu zote (nafasi ya 5 Afrika kama zinavyotambuliwa na CAF)Simba wasipomaliza nafasi pili, Je watashiri kombe gani?Simba wasipomaliza nafasi pili, Je watashiri kombe gani?
Sina habari, nihabarishe mwakarobo (in yombo msukuma voice)CAFCC imefutwa rasmi, michuano ni AFL na CAFCL
afu Simba tayar ashafuzu AFL, habari unayooo???
Subiri hadi ligi imalizike mechi Bado ziko nyingiWakuu kama mlivyosikia ya kuwa confederation cup limefutwa, Je hawa ndugu zetu ubuntu botho/mikia fc/mbumbumbu fc walio nafasi ya tatu kwenye ligi je watashiriki kombe gan?
Nawasikitikia sana maana naona jinsi wanavyobaki kuwa wa hapa hapa nyumban ( wamchangani)