choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Mwezi mchanga kuna mgonjwa mwingine kaongezeka anaitwa Pancho😂😂Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio (Visababu) SC.
25. Manguruwe SC.View attachment 3172627
Kwani si tulikubaliana gari limeshawaka tayari!! Nani kalizima tena?Kiwango cha Simba tangu mechi ya Tabora mpaka ya leo kimedhihirisha hii timu bado ni mbovu sema tuu inajificha kwenye kichaka cha Utopolo kufanya vibaya.
Washambuliaji wa Simba bado ni goigoi, viungo hawatengenezi nafasi timu inabebwa tuu na uwezo binafsi wa Camara.
Huyu kocha nishaanza kupata wasiwasi na mbinu zake.
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Mwezi mchanga kuna mgonjwa mwingine kaongezeka anaitwa Pancho😂😂
Kiwango cha Simba tangu mechi ya Tabora mpaka ya leo kimedhihirisha hii timu bado ni mbovu sema tuu inajificha kwenye kichaka cha Utopolo kufanya vibaya.
Washambuliaji wa Simba bado ni goigoi, viungo hawatengenezi nafasi timu inabebwa tuu na uwezo binafsi wa Camara.
Soma Pia: Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024
Huyu kocha nishaanza kupata wasiwasi na mbinu zake
NakataaKiwango cha Simba tangu mechi ya Tabora mpaka ya leo kimedhihirisha hii timu bado ni mbovu sema tuu inajificha kwenye kichaka cha Utopolo kufanya vibaya.
Washambuliaji wa Simba bado ni goigoi, viungo hawatengenezi nafasi timu inabebwa tuu na uwezo binafsi wa Camara.
Soma Pia: Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024
Huyu kocha nishaanza kupata wasiwasi na mbinu zake.
Huo ndio ubovu wenyewe,kitendo cha kocha kumng'ang'ania Ahoua kucheza dakika zote hata kama anacheza utoto wakati benchi kuna Awesu.Ingawa ana takwimu nzuri lakini hakuna mchezaji anachelewesha ushindi wa Simba kama AhouaNakataa
Simba sio mbovu hata kidogo, tatizo kubwa lipo kwenye upangaji wa kikosi na namba 10
Simba ingempata namba 10 mwenye akili ya mpira anayeweza kukaa na mpira, kutoa pasi zenye macho na kuwapunguza watu ingetisha sana.
Benchi la ufundi ni tatizo kubwa Simba.Huo ndio ubovu wenyewe,kitendo cha kocha kumng'ang'ania Ahoua kucheza dakika zote hata kama anacheza utoto wakati benchi kuna Awesu.Ingawa ana takwimu nzuri lakini hakuna mchezaji anachelewesha ushindi wa Simba kama Ahoua
5-0
Ahoua hajaanza kucheza kitoto leo, hata wachezaji wenzake kama Ngoma na Che Malone wamewahi kumfokea kwa nyakati tofauti, amebaki kuwa kipenzi cha kocha kwa sababu ya takwimu zake. Naanza kuwaelewa viongozi ambao huwa wanaingilia makocha kwenye maamuziBenchi la ufundi ni tatizo kubwa Simba.
Uongozi mtasajili wachezaji wazuri lakini kama hawapewi muda wa kucheza mnaua vipaji vyao.
Ahoua alicheza kipumbavu sana.Hakuwa aggressive anapoteza mipira kirahisi.
Mechi ya jana on target moja tuu dk 90,Nakataa
Simba sio mbovu hata kidogo, tatizo kubwa lipo kwenye upangaji wa kikosi na namba 10
Simba ingempata namba 10 mwenye akili ya mpira anayeweza kukaa na mpira, kutoa pasi zenye macho na kuwapunguza watu ingetisha sana.
Sasa kama kocha anakosa wa kumpanga si ndio ubovu wenyewe huo?? Kama timu inakosa namba kumi Ina maana walisajili magarasa pia kwenye iyo nafasi ndio ubovu wenyewe huo anaomaanisha mtoa mara🤣🤣Nakataa
Simba sio mbovu hata kidogo, tatizo kubwa lipo kwenye upangaji wa kikosi na namba 10
Simba ingempata namba 10 mwenye akili ya mpira anayeweza kukaa na mpira, kutoa pasi zenye macho na kuwapunguza watu ingetisha sana.
Na takwimu zake ukizifatilia ni za bahati bahati tu,,mechi zile za kwanza alizofunga na kutoa asisti dhidi tabora na fountain gate Kila mtu anajua hizo timu zilikuwa kwenye hali Gani,,ukirudi magoli yake mengine ni ya penalty na offside kwaiyo ata takwimu zake ni zilitegemea udhaifu wa timu husika ndio afanikiwe na sio dhidi ya timu zinazojielewa!Ahoua hajaanza kucheza kitoto leo, hata wachezaji wenzake kama Ngoma na Che Malone wamewahi kumfokea kwa nyakati tofauti, amebaki kuwa kipenzi cha kocha kwa sababu ya takwimu zake. Naanza kuwaelewa viongozi ambao huwa wanaingilia makocha kwenye maamuzi