Mashabiaki wa simba ni watu wasioeleweka,.
Kishindwa kwenye ligi yetu,utawasikia akili zetu zipo kimataifa zaidi.
Kuanzia kesho utawasikia hasira zetu tutazimalizia kwenye ligi ya NBC.
NASAHA ZANGU.
Simba kubalini kuwa kikosi chetu Hapo kinapoishia ndiyo kiwango chao kilipofiki.
Kufanya hivo kunawafanya mfanye matengenezo makubwa ya kikosi chenu.
Jifunzeni kwa yanga,walikubali kwa miaka minne kuwa ni wabovu,leo tu naona matunda ya kukubali kwao.