Simba watachukua ubingwa wa NBC kwa 7-10

Simba watachukua ubingwa wa NBC kwa 7-10

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Ni jambo ambalo lipo wazi ,tumeona majibu kombe la mapinduzi kelele kibao ila ni timu ya kawaida pamoja na kuwapamba wachezaji wao, muda unavyoenda Simba inaimarika na Yanga inadhoofika.

Kwanza Simba watachukua points 3 kwa Yanga halafu yanga watadraw mechi zisizopungua 4.

Kama marefa hawatawabeba Simba watachukua ubingwa kwa points za kutosha tu.
 
100%
FB_IMG_1641891922291.jpg
 
Mwaka huu Utopolo wamezamilia sana kuchukua ubingwa wa ligi kuu, hata GSM wanajua wasipochukua ubingwa mwaka huu influence yao itayumba pale Utopoloni. kwa hiyo tujipange sana Simba kama tunataka ubingwa mara ya tano.
 
Ni jambo ambalo lipo wazi ,tumeona majibu kombe la mapinduzi kelele kibao ila ni timu ya kawaida pamoja na kuwapamba wachezaji wao,mda unavyoenda Simba inaimarika na Yanga inadhoofika .

Kwanza Simba watachukua points 3 kwa Yanga halafu yanga watadraw mechi zisizopungua 4. Kama marefa hawatawabeba Simba watachukua ubingwa kwa points za kutosha tu.
Endelea kuota eti simba inaimarika yanga inadhoofika, umetumia kigezo kipi labda tuanzie apo, alafu izo sare ni yanga tu ndo itazipata na simba atashinda game zote sio? Umeonnyesha ujinga wako wa hali ya juu Sana ndo nyie mashabiki wa ovyo ovyo wasiojielewa, kiwango alichoonyesha yanga mapinduzi ndo umeona cha kufanyia reference ata kwenye ligi endelea kuota bado akujakucha
 
Tukipata marefa kama wale wa Zenji, nyinyi si lolote.
 
Tukipata marefa kama wale wa Zenji, nyinyi si lolote.
Waiteni waje mmeshindwa nini, yule boya wenu alivyobanwa na mlandege mbona alianza kuwalaumu hao marefa unaosema wako vizuri, mkishinda refa anakuwa mzuri mkikaziwa uyo refa sio mzuri anapendelea, full nonsense!!
 
Endelea kuota eti simba inaimarika yanga inadhoofika, umetumia kigezo kipi labda tuanzie apo, alafu izo sare ni yanga tu ndo itazipata na simba atashinda game zote sio? Umeonnyesha ujinga wako wa hali ya juu Sana ndo nyie mashabiki wa ovyo ovyo wasiojielewa, kiwango alichoonyesha yanga mapinduzi ndo umeona cha kufanyia reference ata kwenye ligi endelea kuota bado akujakucha
Game ya jana ndo kudhoofika kwenyewe
 
Game ya jana ndo kudhoofika kwenyewe
Kwenye mpira kuna mambo kadhaa yanayochangia kufikia malengo.

1) kikosi bora pamoja na benchi lililo bora

2) upana wa kikosi ili kupunguza kutumika kwa wachezaji mara kwa mara jambo ambalo linaloweza kufanya mchezaji achoke, pia kuna majeraha, kuumwa na misiba hivyo upana wa kikosi hufanya timu isiwe na mapengo

3) saikolojia ya wachezaji. Hili ni swala nyeti sana ambapo inaweza kumfanya mchezaji mmoja mmoja kusababisha kuwanyima wenzie matokeo au timu kwa ujumla. Hapa kuna mambo mengi ikiwa pamoja na kubadilika kwa tabia za wachezaji pamoja na wachezaji kuweza kuhimili presha presha za mashabiki. Unaweza kuta timu ikapoteza mechi moja lakini wakabaki na spirit ile ile ya kupambana mpaka tone la mwisho. Lakini unawezakuta timu ilikuwa inasifika kuwa unbeaten lakini kufungwa mechi moja tu basi ni Kama wamefunguliwa lock ya kufungwa.

Na la mwisho ni uongozi wenye mbinu, na mikakati ns maono sahihi ya kuweza kuifikisha timu kwenye malengo waliyojiwekea.

Timu itakayoweza kudumisha hayo mambo manne ndiyo itakayoweza kuchukua kombe. Dirisha ndio hili limefujguliwa ngoja tuone maimarisho ya vikosi itakuwaje kwa timu zote mbili.
 
Game ya jana ndo kudhoofika kwenyewe
Kama ni mshabiki haswa wa mpira utagundua shida iliyoikabili Yanga kwenye mechi ya jana ni kufosi wachezaji waliokuwa mitaani wapande boti wacheze mpira kisa tu kukariri kuwa hao ndio wachezaji wa kiwango cha juu kwenye timu ya Yanga
 
Mazuzu so kwa kupaniki huku.

Simba atachukua ubingwa mpaka Samia aondoke madarakani 2030.

Mazuzu FC hayako siriazi. Mpira wa Utopolo unachezwa mdomoni, na kwenye magazeti ya CHAMPION na Sport Extra la Tarimba Abas.
 
N
Ni jambo ambalo lipo wazi ,tumeona majibu kombe la mapinduzi kelele kibao ila ni timu ya kawaida pamoja na kuwapamba wachezaji wao, muda unavyoenda Simba inaimarika na Yanga inadhoofika.

Kwanza Simba watachukua points 3 kwa Yanga halafu yanga watadraw mechi zisizopungua 4.

Kama marefa hawatawabeba Simba watachukua ubingwa kwa points za kutosha tu.
Itajie kikosi cha kwanza cha jana?
 
Kama ni mshabiki haswa wa mpira utagundua shida iliyoikabili Yanga kwenye mechi ya jana ni kufosi wachezaji waliokuwa mitaani wapande boti wacheze mpira kisa tu kukariri kuwa hao ndio wachezaji wa kiwango cha juu kwenye timu ya Yanga
Jana ukiangalia mbinu zao zote ziligoma kwa kila mchezaji mmoja mmoja ,pia Azam hawakuwa vizuri kivile ila Basi tu yanga walifeli,either naweza kusema wangeendelea na kikosi kilichoanza mapinduzi labda wangefanya vizuri zaidi
 
Back
Top Bottom