Endelea kuota eti simba inaimarika yanga inadhoofika, umetumia kigezo kipi labda tuanzie apo, alafu izo sare ni yanga tu ndo itazipata na simba atashinda game zote sio? Umeonnyesha ujinga wako wa hali ya juu Sana ndo nyie mashabiki wa ovyo ovyo wasiojielewa, kiwango alichoonyesha yanga mapinduzi ndo umeona cha kufanyia reference ata kwenye ligi endelea kuota bado akujakuchaNi jambo ambalo lipo wazi ,tumeona majibu kombe la mapinduzi kelele kibao ila ni timu ya kawaida pamoja na kuwapamba wachezaji wao,mda unavyoenda Simba inaimarika na Yanga inadhoofika .
Kwanza Simba watachukua points 3 kwa Yanga halafu yanga watadraw mechi zisizopungua 4. Kama marefa hawatawabeba Simba watachukua ubingwa kwa points za kutosha tu.
Tukipata marefa kama wale wa Zenji, nyinyi si lolote.Endelea kuota eti simba inaimarika yanga inadhoofika, umetumia kigezo kipi labda tuanzie apo, alafu izo sare ni yanga tu ndo itazipata na simba atashinda game zote sio? Umeonnyesha ujinga wako wa hali ya juu Sana ndo nyie mashabiki wa ovyo ovyo wasiojielewa, kiwango alichoonyesha yanga mapinduzi ndo umeona cha kufanyia reference ata kwenye ligi endelea kuota bado akujakucha
Waiteni waje mmeshindwa nini, yule boya wenu alivyobanwa na mlandege mbona alianza kuwalaumu hao marefa unaosema wako vizuri, mkishinda refa anakuwa mzuri mkikaziwa uyo refa sio mzuri anapendelea, full nonsense!!Tukipata marefa kama wale wa Zenji, nyinyi si lolote.
Game ya jana ndo kudhoofika kwenyeweEndelea kuota eti simba inaimarika yanga inadhoofika, umetumia kigezo kipi labda tuanzie apo, alafu izo sare ni yanga tu ndo itazipata na simba atashinda game zote sio? Umeonnyesha ujinga wako wa hali ya juu Sana ndo nyie mashabiki wa ovyo ovyo wasiojielewa, kiwango alichoonyesha yanga mapinduzi ndo umeona cha kufanyia reference ata kwenye ligi endelea kuota bado akujakucha
Huyu golikipa wa Yanga, wenzake huwa wanazitokea penati kwa kuibia kusogea mbele, yeye anarudi nyumaEndelea kuota eti simba inaimarika yanga inadhoofika, umetumia kigezo kipi labda tuanzie apo,
Kwenye mpira kuna mambo kadhaa yanayochangia kufikia malengo.Game ya jana ndo kudhoofika kwenyewe
Kama ni mshabiki haswa wa mpira utagundua shida iliyoikabili Yanga kwenye mechi ya jana ni kufosi wachezaji waliokuwa mitaani wapande boti wacheze mpira kisa tu kukariri kuwa hao ndio wachezaji wa kiwango cha juu kwenye timu ya YangaGame ya jana ndo kudhoofika kwenyewe
Itajie kikosi cha kwanza cha jana?Ni jambo ambalo lipo wazi ,tumeona majibu kombe la mapinduzi kelele kibao ila ni timu ya kawaida pamoja na kuwapamba wachezaji wao, muda unavyoenda Simba inaimarika na Yanga inadhoofika.
Kwanza Simba watachukua points 3 kwa Yanga halafu yanga watadraw mechi zisizopungua 4.
Kama marefa hawatawabeba Simba watachukua ubingwa kwa points za kutosha tu.
Jana ukiangalia mbinu zao zote ziligoma kwa kila mchezaji mmoja mmoja ,pia Azam hawakuwa vizuri kivile ila Basi tu yanga walifeli,either naweza kusema wangeendelea na kikosi kilichoanza mapinduzi labda wangefanya vizuri zaidiKama ni mshabiki haswa wa mpira utagundua shida iliyoikabili Yanga kwenye mechi ya jana ni kufosi wachezaji waliokuwa mitaani wapande boti wacheze mpira kisa tu kukariri kuwa hao ndio wachezaji wa kiwango cha juu kwenye timu ya Yanga
Unawanga!Simba nguvu moja
Mwiko nyumaUnawanga!