..wewe Sembo nakuona unatetea ujinga tu huku;endeleeni kuin'gan'gania hiyo timu,iko siku mtaondoka wenyewe kwa aibu vichwa chini.Leo Simba inafungwa na jamhuri yenyewe ndio inatafuta goli la kusawazisha?!
Endeleeni kukomalia chakula chenu,ila kwa haya matokeo naamini mtaanza kula vumbi,nani aende uwanjani kuangalia draw kila siku?! hata na timu za mchangani?!
Msalimie na yule tapeli mwenzio, anayejidai kwenda kukarabati uwanja wa bunju,eti kwa hela zake,***** baada ya kusikia MO anaitaka timu..!!