Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wana moyo...si wafanye bure tu![emoji612] Vituo vya kununua tiketi za mchezo wa kesho wa Ligi Kuu dhidi ya Ruvu Shooting.
#WenyeNchi
#Thimba
#GuvuMoya
View attachment 2617724
Kesho namuua Simba[emoji612] Vituo vya kununua tiketi za mchezo wa kesho wa Ligi Kuu dhidi ya Ruvu Shooting.
#WenyeNchi
#Thimba
#GuvuMoya
View attachment 2617724
AahaaaaaaHivi bado wapo mjini?
Mbona timu yako msimu uliopita alicheza huku anapocheza Yanga na kuishia pale pale pa siku zote? Kama ni kwepesi mngefika hata nusu.Mimi ningempongeza Yanga kama Angekuwa Club BINGWA CAFCL.
ANACHEZA NA WANAUME AKINA .
RAJA CASABLANCA.
WYDAD CASABLANCA.
ALHALY.
ZAMALECK.
MAMELOD.
KAIZER CHEEF.
OLANDO PAIRATES.
Hakika Hilo ni kombe la looser Na Mwaka una ma looser kibao.
Timu ya kushuka Daraja PSL IMETUSUMBUA sana Jana.
Yaani hii mechi ndiyo ya kuweka kiingilio cha 5,000/=, 10,000/= na 15,000/= kweli![emoji612] Vituo vya kununua tiketi za mchezo wa kesho wa Ligi Kuu dhidi ya Ruvu Shooting.
#WenyeNchi
#Thimba
#GuvuMoya
View attachment 2617724
Bado tuna matumaini japo ni hafifu. Utopolo wanaweza kupata sare 2 na kupoteza 1.Yaani hii mechi ndiyo ya kuweka kiingilio cha 5,000/=, 10,000/= na 15,000/= kweli!
Sisi mashabiki wa Simba tulishakubaliana kugomea mechi zote za Simba zilizobaki, maana hazina maana yoyote kwa sasa.