SIMBA wataweza kufanya kitu Marudiano na Waydad

ikigijo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
1,839
Reaction score
1,902
Habari wadau wa Sports,

Pamoja na kuwa mimi ni miongoni mwa watu ambao ninamuona Bocco amezeeka na anawafanyia wenzake mabaya wasipangwe.

Nashauri yafuatayo;

1. Bocco, Chama na Phiri waanze kipindi cha kwanza kutafuta magoli
Hasa boko ajitume sanaa kipindi cha kwanza pia akijua atumie nguvu zoote kwani kipindi cha Pili atapumzika.

Akiwa pale mbele kwa dakika 30 anaweza fanya jambo, akawachachafya na kusababisha Goli Wydad, huku Chilunda akiingia kipindi cha Pili badala ya Boko.
 
Simba ikifungwa , Mangungu atakuwa na wakati mgumu Sana. Kwasasa kama hazungumzwi kabisa [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…