Thabit Madai
Member
- Oct 8, 2024
- 54
- 140
-Simba vs Kmc
Moja kati ya Timu iliyochangia Simba kukosa ubingwa misimu ya hivi karibuni ni Kmc...Simba amekuwa akipata changamoto sana anapokutana na Kmc hasa mzunguko wa kwanza.
Msimu uliopita Simba ililazimika kutoka nyuma na kusawazisha dakika za jioni baada ya kuruhusu mabao mawili kwa makosa binafsi ya aliyekuwa beki wao Israel Patrick Mwenda.
Siku zimekimbia...wachezaji wamebadilika na mchezo wa leo ni mpya...ila Mchezo wa Football ni mchezo wa saikolojia zaidi.
Kama Kmc watawaheshimu Simba kwa kufanya vitu sahihi kwa wakati sahihi wataondoka na alama leo...
Kwanini...?
Simba ataingia kama favorite. KMC ataingia kama second team, siku zote second team huwa inajiandaa kuzuia zaidi kuliko kushambulia.
Kmc wakiingia kama second team watapunguza umbali wa mstari na mstari, watafunga space kwenye zone zote,watapunguza umbali kati mchezaji na mchezaji na kutengeneza overloads kwenye eneo lao ili kupunguza uwezekano wa kuvuka line moja na nyingine.
Kisha watashambulia kwa mipira mirefu kitu ambacho kinaweza kuwaathiri Simba hasa wakiruhusu 1v1 .
Kinachoziumiza second teams wakikutana na timu kubwa huwa ni usahihi wa matendo kwa kipindi fulani Kisha wakihisi wamefanikiwa huwa wanajisahau...sehemu ya kupiga pas wao wana dribble, sehemu ya ku dribble wanapiga pasi...hatimaye wanafungwa.
Kama Kmc watawadharau Simba na kuona wapo daraja moja...naziona goli nyingi sana!
✍️Sospeter Ilagila