ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Inaonyesha hawa wa msimbazi huwa wanafanya mazoezi hasa ya jinsi ya ku force penati na red card ali mradi tu watoke na ushindi....na hii tabia imeanza kujitokeza kwa kasi tangu walipowapoteza chama na yule mtoto wa kimakonde...
Hebu tujiulize timu hiyo hiyo tu katika michezo yote sita ndiyo inapata penati! Mbona si kwa timu zingine?...game ya Mwanza jana baada ya morrison kustukiwa kajidondosha mwanzo na kupata kadi ya njano wakaendelea kuitafua penati hadi wakaipata mkwaju ambao golikipa aliupangua...
Tff chunguzeni hawa mikia maana huenda hata game ijayo tena wakazawadiwa penati au kadi nyekundu.