ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Kwa akili zao zilivyokuwa finyu walidhani eti jana Simba itafungwa,jamaa ni mizuzu kweli,inadanganywa na vi clip vya masaubwire vinavyorushwa kwenye medias vya kujitamba kwamba mnyama hatoki nao wanaaminiKuna wengine wanapima wanakutwa na UKIMWI, sio kwamb wana HIV, ni stress,depression, chuki binafsi ndio zinawasababishia Upungufu wa Kinga Mwilini(UKIMWI)
Kuna baadhi ya mashabiki wa wapinzani wetu wana Upungufu wa Akili Kichwani(UAKI)Kwa akili zao zilivyokuwa finyu walidhani eti jana Simba itafungwa,jamaa ni mizuzu kweli,inadanganywa na vi clip vya masaubwire vinavyorushwa kwenye medias vya kujitamba kwamba mnyama hatoki nao wanaamini
UnaotaNi mwendo uleule wa mwaka jana. Mnatangulia kuongoza ligi halafu wenye kombe lao tunarudi kuchukua.
Ngoja tuongoze ligi mvua ianze kunyesha.
MayeleUTABAKWA TU.
Weka na za msimu ulioisha mliongoza mechi 22[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Tulieni nyieView attachment 2017170