Simba ya 17 Afrika, Yanga ya 69

Nioichofurahia huu uzi hakuna wale wachafuzi wa hali ya hewa, pametuliaaaaa! Uto bhanaa, hapa wameshkwa pabaya
Wapo mitaani wanabweka ovyo kama mbwa koko kushangilia lile birika la kuvutia shisha wanaloita kombe la Mapinduzi.
 
Baada ya kuzimia mmepatia fahamu huku!
YANGA HATA IWE DARAJA LA PILI CHA MSINGI iishikishe adabu SIMBA full stop (kawaambie mtaani kwenu)
 
Simba ipo juu ya Yanga Afrika na dunia wanatambua hilo, kasoro kijiji fulani kinaitwa jangwani ndio hawajui hilo, waachwe waendelee kuishi ndotoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…