William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Fadlu David siii kocha kabisa.
Fadlu Amekuwa assist coach kwa miaka saba tofauti pale Mutirzburg United South Africa.
Kwa kipindi tofauti iliaminika yeye ndio chanzo cha mafanikio pale. Ila kila wakitimua kocha Akiachiwa timu timu inapoteana na kunyanganywa upya baada ya miezi 2 tu mara 5 tofauti.
Mwaka 2021 Orando Pires wakiwa wamesajili vizuri tu na wamechoka kushika namba 2 kila mwaka wakamchukua awe kocha wa kudumu. Wakampa muda ili Awatoe mamelod pale juu. Wakamvumilia sana. Chini ya Fadlu David orando ilipata matokeo Mabovu zaidi kwa miaka 10nyuma. Na ikatoka namba 2 hadi 4 ligi kuu.
Orando wakaona hapana wakamtema.
Murtzsburg United wakahisi sasa kaiva. Katoka orando wakampa ukocha sasa wa kudumu 2022-2023. Kilichowatokea hawatasahau. Akawashusha daraja Mazima. Wakamuongeza muda
Najua simba chini yake itapigwa mechi zote kubwa.
Viongi hawatofautishi kati ya trainer na Meneja wa timu. Fadlu Anafaa kuwa chini ya kocha mkuu. Yeye ni mzuri kufundisha mchezaji moja moja na mbinu binafsi. Mazoezi ya viungo, Mijongeo, Nguvu, Pumzi, ball control na vitu binafsi.
Kwa timu kubwa akina Fadlu wanakuwepo tu kuwasaidia mameneja wazuri.
Meneja ndie anayejenga timu. (umoja wa timu au bond au muunganiko wa wachezaji kupia vitu tofauti)
1. Mifumo ya ukabaji na ushambuliaji wa timu. (nje ya mtu moja moja)
2. Saikolojia ya wachezaji na kuweka umoja na uelewano na hali ya kujituma.
3. Nidhamu ya timu kwa ushawishi sio ukubwa. Kuhudhuria mazoezi, kulala na kula kwa wakati na kusikilizana.
4. Kuwa kiuongo wa uongozi na wachezaji. Msuluhishi, mkweli na mtu wa kusema ukweli kwa niaba ya wachezaji kwa viongozi.
Kwa Fedlu David hawezi. Sema ni mwanasiasa mzuri. Mpiga domo, Atawapanga viongozi na usajili wao Mbovu na timu Itaboronga mpaka waje waelewe hakuna kocha Tayari timu iko namba 10 ligi kuu.
Fadlu Anatakiwa auambie uongozi ukweli Huwezi kuwa na watoto tupu wakacheze ngoma ya wakubwa. Ata wakubwa waliobaki sio wapambanaji bali ni Wasiojua kulalamika tu.
Nawakumbusha tu Fadilu akiwapanga mkamwamini na mkaakaa tu bila bahasha simba Anatoka hatu za awali Caf na Hatakuwa ndani ya top 4 mwaka huuu