Simba ya Leo siyo Simba ya Jana, ona ona... A to Z inatoa maumivu

Sodoku

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,271
Reaction score
2,903
Nlipokuwa naangalia mpira wa jana nikakumbuka huu wimbo. Kiukwel simba ya leo ina mabadiliko kiasi kikubwa kuliko ile ya jana. Wachezaj wanajituma na wanaonekana wana nia ya kushinda. Ni simba ambayo hata isiposhinda tunajua imeshindwa kimchezo si kwa sababu ya uzembe

Tunaona inavyojitahidi kutoa dozi pasipo migogoro. Na team zinazofungwa kwa kweli hazilalamiki hata kidogo. Tukumbuke simba imetoa draw mbili ambazo ni moja ndo ilikuwa na zengwe kubwa sana.
 
Ni kweli.
Simba ya leo ina pumzi sana kuliko ya jana.
Angalia hata magoli mengi yanapatikana kuanzia dak za 70 kwenda juu.
 
Back
Top Bottom