Nlipokuwa naangalia mpira wa jana nikakumbuka huu wimbo. Kiukwel simba ya leo ina mabadiliko kiasi kikubwa kuliko ile ya jana. Wachezaj wanajituma na wanaonekana wana nia ya kushinda. Ni simba ambayo hata isiposhinda tunajua imeshindwa kimchezo si kwa sababu ya uzembe
Tunaona inavyojitahidi kutoa dozi pasipo migogoro. Na team zinazofungwa kwa kweli hazilalamiki hata kidogo. Tukumbuke simba imetoa draw mbili ambazo ni moja ndo ilikuwa na zengwe kubwa sana.