Simba ya sasa inatia hasira

Simba ya sasa inatia hasira

Mr.Black

Member
Joined
Jun 9, 2014
Posts
97
Reaction score
74
dah hii tatizo nini mbona msimu timu yetu simba mnatia aibu na pressure za bure mashabiki wenu. hivi tatizo ni kwa viongoz au wachezaji au ni sisi mashabiki ndiyo kikwazo kwa simba kutokupata matokeo mazuri kila sikuu:shocked::shocked::shock::shock::shock:
 
Kikosi cha Simba kimewasili visiwani Zanzibar kujiandaa kwa ajili ya mechi yake dhidi ya watani wao wa jadi Yanga itakayochezwa Jumapili ijayo
 
Back
Top Bottom