dah hii tatizo nini mbona msimu timu yetu simba mnatia aibu na pressure za bure mashabiki wenu. hivi tatizo ni kwa viongoz au wachezaji au ni sisi mashabiki ndiyo kikwazo kwa simba kutokupata matokeo mazuri kila sikuu:shocked::shocked::shock::shock::shock: