Simba ya tatu kwa utajiri Afrika.

Laki Si Pesa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2018
Posts
5,085
Reaction score
9,022
Wasalam nimeona kwenye website ya kuaminika klabu ya Simba Sc, ni ya tatu kwa utajiri Africa, ya kwanza Al Ahly, ya pili Zamalek.
Orodha ya klabu tajiri Africa.
1. Al Ahly
2. Zamalek.
3. Simba
4. Pyramids.
5 .Esperance.
6. Raja
7.Wydad
8. Tp Mazembe.
9. Mamelodi.
10. Kaizer Chief
 
TAKWIMU MCHONGO


WEBSITE YA KUAMINIKA IPI?
😎
 
Mimi ni mshabiki wa simba, ila hili silikubali hata kwa zawadi.
 
Uongo
Hata kwa ubora simba haipo top 20 Afrika
Chuki kwa Simba zitakuja kuwauweni.

Simba kwa ubora Africa inaweza kuwa kwenye top ten.
1. AlAhly
2. Wydad
3. Esperance
4.Mamelod Sundowns
5. TP Mazembe
6. Raja Casablanca
7. Atletico Petroles de Luanda
8. Simba Sports
9. Zamalek
10 Horoya Athletics
 
Yote haya yanakuja baada ya kubakwa na Orlando?
 
Nenda kacheki tena rank ya caf, Simba hayupo kumi bora yupo nafasi ya 13

1) Al Ahly point 73
2) Esperance point 58
3) Wydad point 56
4)Raja point 54
5)Mamelod point 46
6) Zamalek point 43
7) Berkane point 39
8) Tp Mazembe point 38
9) Pyramid point 34
10)Pdtro luanda point 33
11) Etoil du Sahel point 32
12) Horoya point 31
13) Simba & Setif wote point 28
 
Team ni Tajiri au wanammiliki Tajiri? Hiv unajua maana ya neno Team Tajiri hiv Simba inauwezo wakujiendesha yenyewe kupitia mapato ya club bila pesa za mfukoni wa Mo dewji?
 
Timu hata uwanja haina

Ah huo utajiri ni lile jengo la sandaland?
 
Timu hata uwanja haina

Ah huo utajiri ni lile jengo la sandaland?
Uwanja ndiyo utajiri pekee? Au wewe ndiyo wale wanaosema Bakhresa ndiye tajiri no 1 Tz kisa anamiliki vitu vingi wanavyoviona kwa macho yao mfano Timu,boti kubwa za usafiri , Hotel nk ?
 
Fatilia mi shabiki wa Simba haswa ila nakataa
 
Kwani Mo sio sehemu ya ya umiliki wa klabu ya Simba?
Nazungumzia mapato ya club wanachoingiza ni kikubwa kuliko wanachotumia? Kwa mujibu wa Mo Simba inajiendesha kihasara ndio maana kuna wakati anaisadia team nje ya makubaliano walioingia na simba kama anavyofanya GSM kwa Yanga sasa hapo huo utajiri wa Simba unatoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…