Simba ya tatu kwa utajiri Afrika.

Chuki kwa Simba zitakuja kuwauweni.

Simba kwa ubora Africa inaweza kuwa kwenye top ten.
1. AlAhly
2. Wydad
3. Esperance
4.Mamelod Sundowns
5. TP Mazembe
6. Raja Casablanca
7. Atletico Petroles de Luanda
8. Simba Sports
9. Zamalek
10 Horoya Athletics
Simba haipo kwenye kumi bora kwa ubora kwa mujibu wa CAF five year ranking report..tutolee huu upuuzi wako
 
Uwanja ndiyo utajiri pekee? Au wewe ndiyo wale wanaosema Bakhresa ndiye tajiri no 1 Tz kisa anamiliki vitu vingi wanavyoviona kwa macho yao mfano Timu,boti kubwa za usafiri , Hotel nk ?
Simba inamiliki asset gani tunayoweza kuinconsider kama timu tajiri au labda utuambie market value ya simba ni kiasi gani kwa sasa tukiingalia upande wa value in stock market
 
Kumi na tano sio kumu na tatu
 
Yanga wapumbavu sana!!! wanajitungia uzi wa uongo dhidi ya myama halafu wanaanza kubishana wao kwa wao.... mulizeni aliyeleta uzi kazitoa wapi hizo habari? alete source kwanza ndo muundelee kulumbana juu myama!!!
 
Pyramids wana mchezaji waliyemsajili kwa billioni 2 za kitanzania asilimia kumi kwenye zile billioni 20 za tajiri yenu alizowekeza SIMBA
 

Mkuu si ubora mada ni utajiri
 
Hivi nyie makolo mbona mnajitoa sana ufahamu. Timu Haina hata uwanja unasema ni ya tatu. Mchezaji Gali kabisa analipwa Dola 11000. Huku Kuna vilabu hiyo ni hela ya mchezaj wa mwisho kabisa. Halafu unaleta uduwanzi wako hapa

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Sawa, ingependeza ukiattach link.
 
Vigeza pls
 
Fatilia mi shabiki wa Simba haswa ila nakataa
Simba hawawezi kuwa nje ya vilabu 10 kwa ubora.

Ndiyo maana kwenye mashindano ya CAFCL last season alikuwa highly ranked club na siyo ranked clubs ambazo kundi kubwa.
 
😀😀 afuu huo utajiri uko wapi mbona hauonekani?.
 
Hizi takwimu za source zisizoeleweka ni shida sana
 
Labda itakuwa ni Simba Cement, au Simba Mtoto Video Coach.
 
kweli duniani hakuna washabiki wajinga na mambumbumbu kama simba, kila wanacho danganywa wanakuballi tuu, yaani wao ni yes, yes tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…