Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yanga ni timu ya mpira na ccm ni chama cha siasaYanga mna matatizo gani?
huwaga naona nipo sahihi sana kuwafananisha mashabiki wa yanga na wanachama wa CCM,tofauti yenu siioni..
Hivi kumbe ni bonanza?. Duh mkiitwa mbumbumbu sio dhambi kwa kufananisha game ya jana na ile ya kotoko then uziite bonanzaYanga timu ya ajabu sana yaani wao wanashinda bonanza, alafu wanaanza kujifananisha na Simba, mlikuwa wapi kuwafunga Gormahya?
Sasa kama mliyecheza nae keshafuzu na nyie hata mngeshinda goal mia hamuendi popote tuiiteje?Hivi kumbe ni bonanza?. Duh mkiitwa mbumbumbu sio dhambi kwa kufananisha game ya jana na ile ya kotoko then uziite bonanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hayo mashindano yanageuka bonanza kwa sababu hizo?Sasa kama mliyecheza nae keshafuzu na nyie hata mngeshinda goal mia hamuendi popote tuiiteje?
Una akili timamu kwanza?Sasa kama mliyecheza nae keshafuzu na nyie hata mngeshinda goal mia hamuendi popote tuiiteje?
Wewe una akili kama za Yanga ndomaana unafail unashangalia.
You see now? Simply huna akili, nimekuuliza swali unajibu tofauti.Wewe una akili kama za Yanga ndomaana unafail unashangalia.
Subiri ligi ianze tutawajua wapuunzi ni wakina nani.
Wewe ungekuwa unaakili usingeuliza maswali ambayo majibu unayo. Your should learn how to ask questions.You see now? Simply huna akili, nimekuuliza swali unajibu tofauti.
Nonsense.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo kiazi kabisa.......Yanga timu ya ajabu sana yaani wao wanashinda bonanza, alafu wanaanza kujifananisha na Simba, mlikuwa wapi kuwafunga Gormahya?
Inashangaza sana kachukua kichapo cha 7-2 na Gor..kajambishwa 5-2 na USM Alger halafu anashangilia. Haya ni maajabu ya mwaka.Yanga mna matatizo gani?
huwaga naona nipo sahihi sana kuwafananisha mashabiki wa yanga na wanachama wa CCM,tofauti yenu siioni..
Nasikia hata kwa mshindi wa mwisho, bonanza lenyewe lina fedha nyingi kuliko hata za ubingwa zikichanganywa na za ngao ya jamii. Nasikia Bonanza lenyewe linaitwa Kombe la Shirikisho la Mpira wa Miguu la Afrika.Yanga timu ya ajabu sana yaani wao wanashinda bonanza, alafu wanaanza kujifananisha na Simba, mlikuwa wapi kuwafunga Gormahya?
Naskia marehemu kapiga chafyaaaa Taifa ha ha [emoji16] [emoji16]Nasikia hata kwa mshindi wa mwisho, bonanza lenyewe lina fedha nyingi kuliko hata za ubingwa zikichanganywa na za ngao ya jamii. Nasikia Bonanza lenyewe linaitwa Kombe la Shirikisho la Mpira wa Miguu la Afrika.