Simba ya Uturuki vs Yanga ya Morogoro

Yanga timu ya ajabu sana yaani wao wanashinda bonanza, alafu wanaanza kujifananisha na Simba, mlikuwa wapi kuwafunga Gormahya?
Nasikia hata kwa mshindi wa mwisho, bonanza lenyewe lina fedha nyingi kuliko hata za ubingwa zikichanganywa na za ngao ya jamii. Nasikia Bonanza lenyewe linaitwa Kombe la Shirikisho la Mpira wa Miguu la Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…