Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Duuh! Ligi ya shirikisho ni bonanza? Kweli mashabiki wa simba koko ni mbumbu kama alivyosema Aden RageYanga timu ya ajabu sana yaani wao wanashinda bonanza, alafu wanaanza kujifananisha na Simba, mlikuwa wapi kuwafunga Gormahya?
Subiri tukutane ndo utajua nani mbumbu kati ya Chama na TshitshimbiDuuh! Ligi ya shirikisho ni bonanza? Kweli mashabiki wa simba koko ni mbumbu kama alivyosema Aden Rage
Nami pia mnistue Mkuu.
Maka..mbo0 atawafanya vibaya sanaSubiri tukutane ndo utajua nani mbumbu kati ya Chama na Tshitshimbi
Hahahaaaa. Swahiba unawatonesha watu ujue.Yanga ya Morogoro imempigaa mwarabu kipigo cha mbwa koko
Hahahaaaa. lolDuuh! Ligi ya shirikisho ni bonanza? Kweli mashabiki wa simba koko ni mbumbu kama alivyosema Aden Rage
Inabidi tu tuwatoneshe hawa wanatoa droo hata na timu ya Ruangwa ukoHahahaaaa. Swahiba unawatonesha watu ujue.
Inashangyijuhuujjaza sana kachukua kichapo chaujijj 7-yuugjuiy2 na Gor..kajambishwa 5-2 nauiyyuu USM Alger halafu anashangilia. jju ni maajabu ya mwaka.gggiiuioiy
iuíjuyï
Sent using Jamii Forums mohyhjuyhbile apphjgggghhggggiyu[/QiyjijuUOTE]Yaani haw bwana acha tu wajifariji maana wamepata tabu saaana siku za karbuni.
Nashindwa kulinganisha ubora wa Simba ya Uturuki na Yanga ya Morogoro. Wenzangu mnasemaje?
Hivi kotoko na simba ndo kombe LA shrikisho na Yanga na waarabu ndo bonanza.Mi mshamba nifafanulie ndau.Yanga timu ya ajabu sana yaani wao wanashinda bonanza, alafu wanaanza kujifananisha na Simba, mlikuwa wapi kuwafunga Gormahya?
Bonanza hiloSasa kama mliyecheza nae keshafuzu na nyie hata mngeshinda goal mia hamuendi popote tuiiteje?
Waarabu hawakua na sababu ya kutumia nguvu zao za baadae, wakati wamepita, yanga wanaenda wapi?Hivi kumbe ni bonanza?. Duh mkiitwa mbumbumbu sio dhambi kwa kufananisha game ya jana na ile ya kotoko then uziite bonanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa namna hiyo, hata ukisikia wewe mwenyewe umekufa basi utaamini.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] vyura mna sheedah nyieKwa namna hiyo, hata ukisikia wewe mwenyewe umekufa basi utaamini.
Aliyesema kila Mtanzania ni Kocha wa Football hakukosea. Hongera Kaka!!!Waarabu hawakua na sababu ya kutumia nguvu zao za baadae, wakati wamepita, yanga wanaenda wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hapa ni shule. Ile ni mechi ya kimashindano siyo bonanza. Rudi darasani uelimishwe bonanza ni nn??Sasa kama mliyecheza nae keshafuzu na nyie hata mngeshinda goal mia hamuendi popote tuiiteje?