Headcorner
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 205
- 292
Ndiyo labda ni Mwanzo tu,siku zijazo huenda wakaja na timu zaidLeague ya team tatu? Au hizo ni baadhi zipo nyingine hazijatajwa?
Hapana kundi la simba ni kama ifuatavyoHivi hao wapo kundi moja CL...
Eh😂Hapana kundi la simba ni kama ifuatavyo
1.Simba
2.Tukuyu Stars
3.Sigara
4.SDA.
Hapo wamejiongeza maana kuna TP Mazembe ambae anatoka nchi moja na mpinzani wake kwenye klabu bingwa na Al Hilal pia anatoka na mpinzani wq Simba klabu bingwaLeague ya team tatu? Au hizo ni baadhi zipo nyingine hazijatajwa?
Wanaa lengo zuri sana lakini namna walivyoipanga ratiba ndio tatizo. Mechezo imepangwa karibu karibu sana, na pia zimebaki siku chache timu kucheza mechi za hatua za makundi. hapa kuna uwezekano wa timu kama TP Mazembe kuweka kikosi dhaifu kukwepa majeruhi sio rahisi kupata kipimo sahihi labda kama lengo ni kuwa na ushirikiano na kupata mapatoHapo wamejiongeza maana kuna TP Mazembe ambae anatoka nchi moja na mpinzani wake kwenye klabu bingwa na Al Hilal pia anatoka na mpinzani wq Simba klabu bingwa
Ligi timu 3 ndiyo mara ya 1 kusikia tangu nizaliwe. Kweli mwaka huu 2taona mengi.
Wivu tu!Ligi timu 3 ndiyo mara ya 1 kusikia tangu nizaliwe. Kweli mwaka huu 2taona mengi.