Simba yaapa kufa na Azam

Simba yaapa kufa na Azam

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253
Nahodha wa Simba, John Bocco, amesema watapambana kufa na kupona kesho Jumatano kuhakikisha wanaifunga Azam wanayokimbizana nayo kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara.

Bocco aliyejiunga na Simba msimu huu akitokea Azam, amekuwa moto katika mechi za karibuni akifunga mabao matano katika mechi nne za mwisho hivyo kufikisha mabao tisa, matatu tu pungufu ya kinara, Emmanuel Okwi wa Simba pia.

“Tunakwenda kucheza na Azam, ni timu nzuri ndiyo maana ipo nafasi ya pili. Watakuwa wanajiandaa kwa nafasi yao na sisi tunafanya maandalizi mazuri zaidi, ninachokiamini Simba ni timu kubwa na tutacheza nao kuhakikisha tunachukua pointi tatu muhimu,” alisema Bocco ambaye ni miongoni mwa wachezaji wachache wazawa wenye uwezo mkubwa kifedha.

Simba itaingia kwenye mchezo dhidi ya Azam FC ikiwa na kumbukumbu ya sare mchezo wa ligi uliopita na kupoteza kwa bao 1-0 kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi.

Ushindi utaifanya iongoze kwa tofauti ya alama nane dhidi ya Azam FC ambayo sasa iko nafasi ya pili, alama tano nyuma ya Simba yenye alama 38

Dar24
 
Mara alama tano.....mara alama nane nyuma ya Simba.....
Which is which?
 
kama kawaida yao mikia ya matopeni imeisha anza fitina, wanamkataa refa, eti wanawamke hawawezi kuchezesha mechi 'kubwa'
 
Leo kwa bahati mbaya sana Simba inaelekea kufungwa na Azam. ni ndoto nimeiota na inaniumiza sana.
 
Tunahofia viti kuharibiwa. Maana Haji anawaaminisha kuwa lazima washinde. Ikienda kinyume wengine hawaelewi kabisa.
Na hapa ndo umbumbumbu wa mashabiki wa FIFA fc unapojidhihirisha mana kila asemalo manara wao wanalibeba kama lilivyo
 
Mpira una matokeo matatu.
Mkubali kupokea lolote ili mashabiki wenu wasije kung'oa viti tena. Teh teh teh.
Mbao
Nahodha wa Simba, John Bocco, amesema watapambana kufa na kupona kesho Jumatano kuhakikisha wanaifunga Azam wanayokimbizana nayo kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara.

Bocco aliyejiunga na Simba msimu huu akitokea Azam, amekuwa moto katika mechi za karibuni akifunga mabao matano katika mechi nne za mwisho hivyo kufikisha mabao tisa, matatu tu pungufu ya kinara, Emmanuel Okwi wa Simba pia.

“Tunakwenda kucheza na Azam, ni timu nzuri ndiyo maana ipo nafasi ya pili. Watakuwa wanajiandaa kwa nafasi yao na sisi tunafanya maandalizi mazuri zaidi, ninachokiamini Simba ni timu kubwa na tutacheza nao kuhakikisha tunachukua pointi tatu muhimu,” alisema Bocco ambaye ni miongoni mwa wachezaji wachache wazawa wenye uwezo mkubwa kifedha.

Simba itaingia kwenye mchezo dhidi ya Azam FC ikiwa na kumbukumbu ya sare mchezo wa ligi uliopita na kupoteza kwa bao 1-0 kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi.

Ushindi utaifanya iongoze kwa tofauti ya alama nane dhidi ya Azam FC ambayo sasa iko nafasi ya pili, alama tano nyuma ya Simba yenye alama 38

Dar24
 
Naomba kuuliza wanandugu, hiv J. Boko ni kabila gan?
 
Back
Top Bottom