Simba yaapa kufa na Azam

Kabila la mtu linakuhusu nini wewe!!!

Ukishalijua utashiba!!!!
Kumbe na wewe ni kama mimi wote hatujui, hahahaaaa, siwezi kushiba nikjua kabila lake zaid nashiba akifunga magoli
 
simba inanolewa na MATAIFA MATATU

Mfaransa huyo anasaidiwa na makocha watatu ambao ni Masoud Djuma raia wa Burundi, Mohamed Habibi kutoka Tunisia na Mwarami Mohamed ambaye ni Mtanzania.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…