Simba Yaenda Kujifua Unguja

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Nimeziangalia hizi picha kuna jambo nimelitafakari sana..........

 
Simba hii hii??? Au simba lion ya mpiji magoe???
 
Vipi ile dawa ya Misri mliyo puliziwa chumbani ? waliwaacha salama kweli?
...kumbe ndio maana nimewaona jana wakati wakiteremka kwenye basi toka airport walikuwa hawatembei vizuri!
 
Mbona sura zao zinaonekana kama wamechoka choka hivi!!!! Halafu mbona wamevaa chupi hadharani!!!!
Duuuuuh hii timu aiseeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…