John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Kilabu ya mpira wa miguu yenye makazi yake Msimbazi jijini Dar es salaam imepambana hatimaye kushindwa kutwaa alama tatu ugenini katika dimba la Majaliwa, Dhidi ya Club ya Namungo, Yenye makazi yake huko Lindi.
Magoli hayo yaliyofungwa na Baleke kwa upande wa Simba na Kabunda kwa upande wa Namungo yamepelekea mchezo huo kumalizika kwa sare ya alama 1 huku bingwa mtetezi na mwakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya kimataifa barani Afrika Young Africans akisalia kileleni.