John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
HatuwadaiBila Simba huna content humu jamvini π
[emoji16][emoji16][emoji16]Hatuwadai
"huku bingwa mtetezi na mwakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya kimataifa barani Afrika Young Africans"Kilabu ya mpira wa miguu yenye makazi yake Msimbazi jijini Dar es salaam imepambana hatimaye kushindwa kutwaa alama tatu ugenini katika dimba la Majaliwa, Dhidi ya Club ya Namungo, Yenye makazi yake huko Lind....
AaaahaaKilabu ya mpira wa miguu yenye makazi yake Msimbazi jijini Dar es salaam imepambana hatimaye kushindwa kutwaa alama tatu ugenini katika dimba la Majaliwa, Dhidi ya Club ya Namungo, Yenye makazi yake huko Lind...
Hata miye nakazia"huku bingwa mtetezi na mwakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya kimataifa barani Afrika Young Africans"
Nakazia
Duh kwa Kweli ,,mmekosa pa kuikamatia yangaNyie vibonde wa Ihefu tulieni
Imetoka sare kiumeKilabu ya mpira wa miguu yenye makazi yake Msimbazi jijini Dar es salaam imepambana hatimaye kushindwa kutwaa alama tatu ugenini katika dimba la Majaliwa, Dhidi ya Club ya Namungo, Yenye makazi yake huko Lindi.
Magoli hayo yaliyofungwa na Baleke kwa upande wa Simba na Kabunda kwa upande wa Namungo yamepelekea mchezo huo kumalizika kwa sare ya alama 1 huku bingwa mtetezi na mwakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya kimataifa barani Afrika Young Africans akisalia kileleni.
View attachment 2608933
Azam ataizika kiume, kombe pekee atakalobaki nalo ni KUFA KIUME CUP na atapewa medali za chuma zilizonakshiwa HATUWADAISimba ilikufa kiume ikiwa Morocco; huko Lindi imezikwa kiume, sasa na tusubiri ioze kiume!
Hahahaha hahaaaaaaaaaaaa......kufa kiume FC........manina.Kilabu ya mpira wa miguu yenye makazi yake Msimbazi jijini Dar es salaam imepambana hatimaye kushindwa kutwaa alama tatu ugenini katika dimba la Majaliwa, Dhidi ya Club ya Namungo, Yenye makazi yake huko Lindi.
Magoli hayo yaliyofungwa na Baleke kwa upande wa Simba na Kabunda kwa upande wa Namungo yamepelekea mchezo huo kumalizika kwa sare ya alama 1 huku bingwa mtetezi na mwakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya kimataifa barani Afrika Young Africans akisalia kileleni.
View attachment 2608933
π€£π€£π€£Azam ataizika kiume, kombe pekee atakalobaki nalo ni KUFA KIUME CUP na atapewa medali za chuma zilizonakshiwa HATUWADAI