Simba yafa kiume huko Nangwanda Sijaona

Simba yafa kiume huko Nangwanda Sijaona

babu onyango

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2023
Posts
378
Reaction score
984
Kwa mara nyingine tena mabingwa wa robo fainal caf Simba Leo wamefanikiwa Tena kufa kiume huko mtwara baada ya kubanduliwa goli 2-1 na Azam katika mchezo wa nusu fainali Azam Confedaration Cup.

Hongereni sana wachezaju wa Simba Kwa kuendelea kuilinda rekodi yenu ya kufa kiume[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani kuna kombe la kufa kiume? Limeazishwa nani hilo kombe?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums-686154663.jpg
 
Magoli aliyofungwa kipa wa simba leo laiti kama ndio angefungwa kipa wa timu nyingine iliyocheza dhidi ya yanga basi tungeona nyuzi nyingi humu za kuituhumu yanga kununua mechi/kupanga matokeo
Ni mihemko tu ya mashabiki wasiojua lolote. Wala usiwachukulie serious maana hawajui soka ni mchezo wa makosa kama ya Ally Salum.
 
Back
Top Bottom