babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Kwani kuna kombe la kufa kiume? Limeazishwa nani hilo kombe?Kwa mara nyingine tena mabingwa wa robo fainal caf Simba Leo wamefanikiwa Tena kufa kiume huko mtwara baada ya kubanduliwa goli 2-1 na Azam katika mchezo wa nusu fainali Azam Confedaration Cup.
Hongereni sana wachezaju wa Simba Kwa kuendelea kuilinda rekodi yenu ya kufa kiume[emoji23][emoji23][emoji23]
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja waje mazezeta wa mudi
๐๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐ชTumekufa kiume na kombe tumepata leo la kufa kiume cup, hapa pumbu zote zimelowaView attachment 2613524
Ni mihemko tu ya mashabiki wasiojua lolote. Wala usiwachukulie serious maana hawajui soka ni mchezo wa makosa kama ya Ally Salum.Magoli aliyofungwa kipa wa simba leo laiti kama ndio angefungwa kipa wa timu nyingine iliyocheza dhidi ya yanga basi tungeona nyuzi nyingi humu za kuituhumu yanga kununua mechi/kupanga matokeo