Simba yafanikiwa kunasa saini ya beki kitasa wa Red Arrows ya Zambia.

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Club ya Simba ya Dar es Salaam imefanikiwa kunasa saini ya mchezaji James Chamanga wa Timu ya Taifa ya Zambia,Chipolopolo, anaechezea Red Arrows ya Zambia ambao ni mabingwa wa Zambia msimu huu. Beki huyo Kitasa mwenye umri wa miaka 22 amesajiwa kuja kuwa pacha wa beki kitasa wa Kenya Joash Onyango mwenye umri wa miaka 25.
 
hata haichekeshi huyo si chamnaga veteran wa chipolochipolo aliyeshinda afcon 2012 na kaitwa juzi national team ni striker na anacheza kama striker
 
Kwakweli hiyo digrii ya utopolo uliotunukiwa chuo kikuu unaitendea haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…