ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,362
- 2,991
Baada ya mapumziko ya siku tatu, kikosi cha Simba leo kimerejea mazoezini kuendelea na maandalizi ya michezo ya ligi inayofuata
Simba imejifua bila ya kocha wake Mkuu Patrick Aussems ambaye amesimamishwa akisubiri maamuzi ya kikao cha Kamati ya Nidhamu na Maadili ambacho kitakaa keshokutwa Alhamisi
Kocha Msaidizi Denis Kitambi pamoja na maafisa wengine wa benchi la ufundi walisimamia mazoezi hayo yaliyofanyika uwanja wa Gymkhana jijini Dar es salaam