Nidhamu ya nini tena?? Manara kasema kocha Alienda Tottenham Hotspurs kucheki nafasi. Sasa wanamuadhibu wa niniHakuma mafanikio bila nidhamu, pale ambapo nidhamu inapwaya viongozi kazeni buti hilo swala la chama na mkude lisimamiwe.
Chezea pesa sio kazi.
Adhabu stahiki inakuja
Nidhamu ya nini tena?? Manara kasema kocha Alienda Tottenham Hotspurs kucheki nafasi. Sasa wanamuadhibu wa nini
Ilo la kumsimamisha umelitoa wapiKwani hiyo ya kumsimamisha siyo adhabu ?
siriIlo la kumsimamisha umelitoa wapi