Simba yaifunga KMC kwa magoli 2 -1 uwanja wa CCM Kirumba

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001


Kwa mara nyingine tena Yanga wanarambishwa dawa na Mnyama Simba Sc.

Safari hii ni katika mechi kati ya KMC na Simba Sc hapa CCM Kirumba Mwanza.

Mpira umeanza

Full Time
KMC 1- Simba 2

Msimamo wa Ligi
 
KMC wanatumia nguvu nyingi sana kukaba rapsha hizi zitawatoa mchezoni kwa kula kadi za mapema
 
One and only one SIMBA
 
Kama kuna kosa wanafanya walinzi wa kmc ni kufanya masikhara na strikers wa Simba
 
Naiona zana ya kikosi kipana hapa kirumba mechi ya NNE saizi kila mechi na kikosi chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…