Simba yaifunga KMC kwa magoli 2 -1 uwanja wa CCM Kirumba

Hii ndio raha ya kupenda vitu vizuri. Yebo yebo huwezi kuingia nazo bungeni ingawa unazipenda
Simba SC ni raha sana.
 
Penalt anapata Okwi anapiga Kagera ambaye hajafunga kitambo, kwaninu usimwachie mwenye form ya kufunga
Matatizo ni sehemu ya mafanikio. Hakuna mafanikio pasipo matatizo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…