Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Penalt anapata Okwi anapiga Kagera ambaye hajafunga kitambo, kwaninu usimwachie mwenye form ya kufunga
Huyo 46+ kawafunga Yanga mpaka leo hawajarudisha goliGame ya costal alifunga penalt mbona hamkuongea enyi mikia?
46+ kafanya yake tulieni
Kwa hiyo tukusaidie nn?Simba tunabebwa waziwazi. Pamoja na ushabiki lkn hili linaaribu ladha ya mchezo.
Mkuu anahitaji msaada huyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo tukusaidie nn?