Kwa miaka kama mitano ya hivi karibuni, kwa washabiki, Simba huwa wana presha kubwa kuliko Yanga. Kwa wachezaji, Yanga huwa wana presha kubwa kuliko Simba. Ndio maana unakuta Simba huwa haiachi kushambulia hata kama ipo nyuma au wapo pungufu. Simba 3-3 Yanga, Simba 1-1 Yanga, Simba 2-1 Yanga ni baadhi ya matokeo ya mechi za karibuni zinazodhihirisha kuwa wachezaji wa Yanga huwa wanafika muda fulani wanapanic